Picha yako ya Akaunti

Madereva wa Bolt lazima wawe na picha ya kwao wenyewe na inayoonekana vizuri ndani ya programu. 

Picha nzuri ya akaunti inapaswa kuwa:

  • Inaonyesha uso wako katikati ya fremu (Na tabasamu itapendeza!)
  • Ionyeshe wewe peke yako (na sio wengine)
  • Ionekane safi
  • Hauna miwani au kofia (miwani ya kusoma/kuona inakubaliwa)
  • Ichukuliwa kwenye mwanga wa kutosha (hakikisha kwamba umeangalia mwanga au dirisha)
  • Ichukuliwe na kamera iliyopo usawa wa macho

Kusasisha picha yako

Unaweza badilisha picha yako kwa kufuata maelezo haya    

  • Nenda kwenye Mipangiliokwenye programu yako ya dereva
  • Bonyeza Portal ya dereva na kuingia
  • Bonyeza nyaraka
  • Nenda chini na kubonyeza Picha ya dereva
  • Utaweza kuongeza au kubadilisha picha yako

Request in seconds, ride in minutes.

Available for iOS and Android devices.
Request in seconds, ride in minutes.