Nina tatizo na taarifa za programu

Ikiwa una shida na kupokea taarifa za programu, hakikisha kuwa:

  • Taarifa kutoka katika programu ya Bolt imewezeshwa kwenye simu yako
  • Unatumia toleo la hivi karibuni la programu
  • Sauti ya simu haijazimwa
  • Sauti ya redio ya gari imeongezwa ikiwa simu yako imeunganishwa na sauti ya gari kupitia kebo au Bluetooth
  • Njia za kuokoa betri na data zimezimwa
  • Huna programu zingine nyingi zinazofanya kazi nyuma.

Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.