Jinsi ya kuwasilina na abiria

Utaweza kuwasilina na abiria baada ya kukubali ombi lake. Kuna njia mbili zinazopatikana katika programu:

  • Unaweza kumtumia abiria ujumbe wa ndani ya programu. Chaguo hili litapatikana hadi uanze safari. Historia ya ujumbe huo itafutwa ukikamilisha safari.
  • Unaweza kupiga simu kwa abiria. Chaguo litapatikana kwa masaa 24 baada ya safari kumalizika.

Tafadhali kumbuka kuwa unaweza kumpigia abiria tu kutoka kwa nambari ya simu iliyosajiliwa kwenye akaunti yako.

Ikiwa safari ilighairiwa, chaguo la kupiga simu litaondolewa.

Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.