Madereva wana jukumu la kukusanya pesa kutoka kwa abiria wa pesa taslimu. Ikiwa abiria anakataa kulipa bei kamili au analipa kidogo, tafadhali ripoti safari hii kwetu kupitia programu.
Tafadhali kumbuka kuwa ni lazima kuwa na chenchi ya kutosha. Abiria ana haki ya kutolipa au kulipa kidogo ikiwa hukuweza kutoa chenchi.