Ikiwa mteja alilipa zaidi ya inavyotarajiwa, tafadhali ripoti hili kwa timu yetu ya Usaidizi kupitia programu na toa taarifa zaidi kuhusu safari.
Mteja anaweza kulipishwa zaidi kama:
- Safari haikutokea lakini ilianzishwa katika programu
- Safari haikuanzishwa au kumalizika kwa wakati kwa sababu tofautitofauti
- Mteja amelipia safari kwa kutumia njia ya malipo tofauti na ile ya awali ilochaguliwa
- Njia isiyosahihi kuchaguliwa.