Makadirio ya muda wa kufika sio sahihi

Wakati unaokadiriwa wa kufika kwenye eneo la kuchukua huhesabiwa kulingana na njia kutoka katika eneo ulipo kwa sasa kwenda kwa anuani ilochaguliwa kuchukua na inazingatia foleni pamoja na visa vingine vya barabarani ambavyo vinaweza kuathiri njia hiyo.Endapo unafikiri muda wa kuchukua ni mdogo sana au sio sahihi, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi.

Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.