Kuendesha skuta ni njia mpya ya kusafiri

Uhuru wa kwenda popote bila kulipia maegesho, mafuta au matengenezo. Unachohitaji pekee ni programu na unakoelekea.

Huduma zetu

Bidhaa na vipengele hutofautiana kulingana na nchi. Baadhi ya vipengele vilivyoorodheshwa hapa huenda visipatikane katika programu yako.

Kufanya miji iwe kwa ajili ya watu, si magari.

Kwa kushiriki maarifa yetu ya tasnia na data ya wakati halisi tunasaidia kuboresha miji yetu.

Kushiriki mbinu bora zaidi

Tunaweza kutoa mawazo yanayosaidia mamlaka za eneo husika kufanya miji yake iwe imeunganishwa na inayofaa zaidi kuishi.

Pata maelezo zaidi
Collage of images showing different services Bolt provides.
Kuhusu sisi

Bolt ni programu bora ya kwanza ya usafiri wa umbali mfupi kwa Uingereza.

Tunafanya miji iwe kwa ajili ya watu, kwa kutoa njia mbadala zilizo bora kwa kila dhumuni la huduma za magari binafsi, ikiwa ni pamoja na safari za kukodi mtandaoni, magari ya pamoja, skuta, na uwasilishaji wa chakula na mahitaji ya nyumbani.

Bolt app open on a smart phone.

Pata pesa ukiwa na Bolt

Ungana na zaidi ya washirika milioni 4.5 dunia nzima wanaopata pesa kupitia Bolt. Kwa madereva, matarishi, wafanyabiashara, na wamiliki wa motokaa wanaotafuta njia mpya za kuongeza mapato.

Pata pesa kama dereva wa Bolt

Endesha na upate pesa

Abiria wetu zaidi ya milioni 200 watakutumia maombi mengi ya safari. Uhitaji ukiwa mkubwa, unaweza kupata pesa zaidi.

Kuwa tarishi mshirika wa Bolt

Pata pesa kwa kila uwasilishaji

Unaamua ni lini na mara ngapi utawasilisha, siku za wiki, jioni, wikendi au saa kadhaa, uamuzi ni wako.

Ongeza mapato kama mfanyabiashara

Ongeza mauzo yako na ufikie wateja wapya

Mamilioni ya watumiaji wetu wanaagiza chakula au bidhaa kutoka kwenye migahawa na maduka kama lako.

Unganisha Bolt na motokaa yako na upate pesa zaidi

Kuza biashara yako ya usafirishaji

Kama mmiliki wa motokaa na mshirika wa Bolt, unaweza kusimamia mali zako kutoka kwenye dashibodi moja iliyo rahisi kutumia na kukuza biashara yako ya usafirishaji.

Vipengele vya hivi karibuni

Weka nafasi ya safari mapema

Unapanga safari? Ratibu safari ya Bolt mapema kwa safari rahisi zaidi ya uwanja wa ndege, mikutano muhimu, au tukio lolote linalohitaji ufike kwa wakati. Ingiza tu maelezo yako na ujihakikishie safari yako hadi siku 90 mbele.

People entering a Bolt vehicle.

Pakua programu zetu

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.

Haraka, njia salama ya kuendesha.

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.

Pakua programu zetu

Chakula unachopenda, kimewasilishwa haraka!

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.

Pakua programu zetu