Bolt

Kuendesha skuta ni njia mpya ya kusafiri

Kwani uendeshe wakati unaweza kukodi usafiri?

Zaidi ya asilimia 55 ya watumiaji wa Bolt wanasema hawahitaji gari wakiwa mjini. Tafuta ni kwa nini kukodisha gari ni njia mpya ya kuendesha.

Kuendesha

inavuta upande wa pampu ya petroli usio sahihi kwa mara ya tatu wiki hii. • Taa yake ya injini inawaka bila sababu na unasikia fundi wako akisema kuwa hiyo kutokuwa na sababu inakugharimu elfu moja. • Ni maumivu ya mgongo. Maumivu ya shingo. Ganzi isiyovumilika ya makalio. • Ni kununua gari linaloenda kwanzia umbali wa kilomita 0 hadi 100 ndani ya sekunde 6.4 lakini linatambaa kwa kilomita 5 kwa saa kwa dakika 30 zinazofuata. • Ni vitundu vidogo. Mikwaruzo. Kwenye Bampa hadi bampa pande zote za bampa. • Hili ni tatizo dogo sana, lisikupe hofu. • Ni tatizo lisilotishia maisha, lakini kadiri unavyojitahidi kurekebisha linakuwa baya zaidi. • Ni kujifunza kwa uzoefu mgumu, kumbe palipo na tatizo moja dogo kuna matatizo mengine madogo mengi. • Hili si janga. Bali ni rundo la makwazo madogo madogo yanayojazana hadi unakereka. • Unakasirika juu ya vitu vidogo ulivyosahau na kuwachukulia wengine vibaya, unakuja kupata picha halisi, kumbe vilikuwa vitu vya kawaida tu. • Hasira yako imeyeyuka na sasa unawaona watu uliowakasirikia kama watu halisi na unajutia jinsi ulivyowakasirikia. • Ni wakati ambapo kwa kweli hakuna tatizo la kiufundi, lakini kila kitu ni kama hakipo sawa nawe unataka utumie maliwato. • Unaegesha usafiri wako kwenye kona iliyobana yenye magari matatu nyuma yako na kundi la watazamaji wako tayari kukufanya usambae mtandaoni kwenye TikTok, wakati unahitaji sana kutumia maliwato. • Ni kama kudondosha funguo za nyumba yako kwenye mwanya uliopo kati ya kiti cha dereva na breki ya mkono kisha ukateguka bega wakati unautoa nje kwa dhamira ya kupata ahueni, kwa sababu, kwa uhakika, unahitaji kutumia maliwato na kila kitu kinaenda ndivyo sivyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

Kuendesha usafiri wa kukodi

hakuna hata moja ya mambo hayo.

Kukodisha usafiri kunakupa manufaa ya kuendesha bila usumbufu unaoambatana nao. Kuanzia usafiri wa kukodi hadi skuta, baiskeli za umeme, na kutumia magari ya pamoja, tuko hapa kukuonyesha kuwa kukodisha usafiri ndiyo njia mpya ya kuendesha.

Kukodisha usafiri ni njia mpya ya kuendesha

Pakua programu ya Bolt na uanze safari kwa kugusa kitufe.

Bidhaa na vipengele hutofautiana kulingana na nchi. Fungua programu yako ya Bolt ili uanze safari.

Usafiri wa kukodi

Wakati wengine wanapambana na usukani, wewe unajinyoosha kwenye kiti cha nyuma. Ukipumzika, mwenye tija, au ukiwa hufanyi chochote kabisa.

Kwa nini upoteze muda wakati unaweza kusafiri kwa kukodi?

Dereva wa wastani nchini Uingereza hupoteza saa 101 kwa mwaka kwenye msongamano wa magari. Huko Paris, ni saa 97. Huko Dublin, saa 81, na huko Warsaw, saa 70 *.

Inrix, Kadi ya Alama ya Msongamano wa Magari Duniani ya 2024

Skuta

Wakati wengine wanazeeka kwa sababu ya saa za shughuli nyingi, wewe unapumua na kufurahia hewa safi. Haraka, bila malipo, na katika udhibiti.

Kwa nini upate mfadhaiko wakati unaweza kukodi usafiri?

Asilimia 54 ya madereva hutukanana, asilimia 46 hupiga honi kupita kiasi, na asilimia 31 wanaendesha wakiwakaribiria sana wale wanaowaudhi*.

Takwimu hii ni kwa mujibu wa makosa ya uendeshaji iliyotolewa barani Ulaya

Baiskeli za umeme

Wakati wengine wanapigia kelele dashibodi zao, wewe unapita mjini ukiwa na tabasamu usoni. Hakuna jasho, hakuna kelele, hakuna mfadhaiko.

Kwa nini ulipe wakati unaweza kuokoa pesa?

Gharama ya wastani ya mwezi ya kukodi na kuendesha gari ni takribani €1,090*. Hiyo ni sawa na €13,080 kwa mwaka ambayo ungeweza kutumia kwa kitu kingine.

Kielelezo cha Gharama ya Gari na Ayvens’ 2025

Usafiri wa pamoja

Wakati wengine wanajaribu kurekebisha mkanda wao wa injini kwa mara ya tatu mwaka huu, wewe unakodi gari wakati wowote unapohitaji. Hakuna matengenezo, hakuna bili, hakuna shida.

Inakuja hivi punde!

Idara ya Bolt ya Uboreshaji Maisha

Tunakubali kwamba baadhi ya mambo kuhusu kuendesha gari yanafurahisha. Ndiyo maana tuliwaomba wanasayansi wakuu ulimwenguni kupendekeza mbadala bora.

Angalia bidhaa zetu