Mwongozo wa Usalama kwa Madereva

Tunazindua mpango wa elimu unaolenga jamii nzima ya Bolt ili kuongeza uelewa na kuweka viwango vya usafiri salama kwa njia ya mtandao.

Usalama ni sharti kuu kwa abiria na madereva wetu

Tunazindua mpango wa elimu unaolenga jamii nzima ya Bolt ili kuongeza uelewa na kuweka viwango vya usafiri salama kwa njia ya mtandao. Ni jukumu letu kueleza ni tabia na mienendo gani inayokubalika wakati wa safari za Bolt.

Ili kuendelea, tafadhali tazama video yote!

Tafadhali washa sauti kwenye kifaa chako — mawasilisho haya yana sauti inayoelezea taarifa muhimu.

Jaribio la usalama

Tafadhali kamilisha jaribio lifuatalo la usalama. Kumbuka kuingia kwenye jaribio ukitumia barua pepe na namba ya simu unazotumia katika programu ya Bolt Driver.

Pata pesa kwa kuendesha na Bolt

Become a Bolt driver, set your schedule and earn money by driving!

Kuwa bosi wako mwenyewe. Anza kuendesha na kupata kipato!

It takes just 2 minutes to submit your information.

Kuwa bosi wako mwenyewe. Anza kuendesha na kupata kipato!