Safety for drivers

Staying safe behind the wheel

The health and safety of our communities is always our top priority. Find out what features we offer to help our drivers stay safe at the wheel.

Confidence on the road

These innovative features are designed to help Bolt drivers feel safe and comfortable while driving and earning on our platform. Products and features vary by country. Some features listed here may not currently be available in your app.

Check our rider safety page.

Wanawake kwa wanawake

A special ride category aiming to keep female drivers and riders safe.

Driving time limits

Driving time limits ensure Bolt drivers get sufficient rest and always stay fresh and alert at the wheel.

Your number stays private

When you make a call via our app, your phone number remains hidden.

Driver trip sharing

Share your real-time location with friends or family, so they know you’re safe.

We’re here for you

Contact our Support team through the Bolt app or via phone. Or visit them face-to-face in your local hub.

Safety incident management

In the unlikely event of a safety incident, our High Priority Safety team will take immediate action.

Rider management

If we receive reports of consistently poor passenger behaviour, we will take appropriate action. We routinely block customers with inappropriate behaviour from using Bolt.

Emergency assist

Drivers can quickly and discreetly alert the emergency services by tapping the in-app Emergency Assist button.

Trip safety monitoring

If your car remains still for too long, we’ll contact both you and your rider to make sure everything is okay.

How to stay safe while driving

Pick up the correct rider

Feel free to ask riders to confirm their name and requested destination before they enter your car.

Focus on your driving

Stay alert, keep your eyes on the road, and get enough rest to ensure you’re always ready to drive.

Remain professional

If a rider behaves inappropriately stay calm and polite, end the journey as soon as possible and report what has happened in the app.

Trust your judgement

If you ever find yourself in an emergency situation while driving with Bolt, use the emergency assist button in your app.

Driver safety FAQ

Programu ya Bolt Driver ina vipengele bunifu ili kuhakikisha usalama wako barabarani. Kulingana na nchi, hivi ni pamoja na kitufe cha Msaada wa Dharura ndani ya programu, usaidizi maalum kwa wateja, usimamizi mkali wa abiria, ukomo wa muda wa kuendesha gari, kushiriki eneo, na safari za wanawake pekee.

Kuna masharti kadhaa ya kutimiza kabla ya kujisajili kuendesha gari ukitumia Bolt. Haya hutofautiana kwa aina na nchi. Tafadhali angalia msharti kutoka kwenye ukurasa wetu wa Usaidizi ili kuona kama gari lako limekidhi vigezo.

Alama ya uendeshaji inayoonekana kwako katika programu huhesabiwa kulingana na safari 40 zilizopita zilizowekewa alama. Ikiwa wastani wa alama uko chini ya kipimo kinachoruhusiwa cha eneo lako, akaunti yako inaweza kuzuiwa.

Tafadhali wasiliana na timu ya Usaidizi kupitia programu yako ya Bolt Driver kwa ushauri wa kuboresha alama zako.

Ukipata ajali, toa taarifa mara moja kwa huduma za dharura ikiwa ni lazima na utujulishe kuhusu hali hiyo kwa kuwasiliana na timu yetu ya Usaidizi kupitia programu.

Tunashughulikia matukio kama hayo kwa kipaumbele cha juu zaidi.

Madereva wa Bolt lazima wakidhi nasharti mahususi kabla ya kuingia barabarani. Ukishakamilisha usajili wako na hati zako kuthibitishwa, utapokea barua pepe yenye hatua zinazofuata ili kuwezeshwa. Maagizo haya hutofautiana kulingana na jiji na gari utakalotumia kuendesha, kwa hivyo tafadhali yafuate kwa uangalifu.

Mara ya kwanza utakapoingia mtandaoni, utaombwa kujithibitisha kwa kutumia picha ya leseni yako ya udereva na picha ya uso.

Wazo la jumla la Bolt ni rahisi - kadiri unavyoendesha gari zaidi, ndivyo pesa nyingi zinavyoingia mfukoni mwako.

Mapato ya dereva kwa kawaida hujumuisha nauli za abiria. Lakini ili kukusaidia kupata zaidi, tuna mfumo wa bonasi unaokuhakikishia mapato ya juu katika nyakati tofauti za siku.

Ili kukidhi vigezo vya kupata bonasi, lazima utimize masharti yaliyowekwa kwa bonasi mahususi. Masharti haya yanaweza kuhusisha kukamilisha idadi ya chini ya safari ndani ya kipindi fulani, kudumisha kiwango cha kukubali safari kilichowekwa, au kufikia alama za juu.

Tafuta bonasi kwa kuangalia ujumbe tunaokutumia, unaotoa maelezo kuhusu wakati na jinsi unavyoweza kupata pesa.

Bonasi huhesabiwa na kuongezwa kwenye salio la mapato yako ya kila wiki. Utapokea bonasi zozote pamoja na malipo yako ya kawaida kutoka Bolt.

Timu ya Usaidizi ya Bolt inafanya kazi saa zote kukusaidia, bila kujali aina ya tatizo.

Ukipata matatizo kwenye programu, kuona gharama isiyojulikana, au una swali tu, unaweza kuwasiliana na timu ya Usaidizi kwa njia kadhaa:

  • Ndani ya programu, unapoenda kwenye menyu kuu katika programu ya Bolt, gusa Usaidizi;
  • Kupitia njia ya kawaida anwani ya barua pepe;
  • Kwa kupiga simu, ikiwa chaguo hili [linapatikana katika jiji lako] (https://bolt.eu/cities/).
  • Kwa maswali ya jumla, angalia [makala yetu ya kujisaidia] (https://bolt.eu/support/), pia yanapatikana katika programu, kuna uwezekano mkubwa wa kupata jibu lako!