Chakula unachopenda, kimewasilishwa haraka
Pata vitu unavyopenda kutoka katika migahawa na maduka bora karibu nawe. Pakua programu au agiza moja kwa moja kutoka kwenye kivinjari.

Gundua, agiza, na fuatilia kwenye programu

Gundua migahawa ya eneo lako
Onja ladha za ulimwenguni kwa uteuzi wetu mpana wa migahawa iwe katika eneo lako unalopenda la karibu au kutoka katika chimbo lililofichwa.

Agiza na ulipie kwa urahisi
Gusa, gusa, tayari! Weka oda kwa mibofyo michache tu na ulipe kwa njia unayopendelea, iwe pesa taslimu, kadi au salio la Bolt.

Fuatilia oda yako
Fuatilia safari ya oda yako kutoka duka hadi mlangoni. Endelea kupata taarifa mpya katika kila hatua ukiwa na arifa za wakati halisi.

Pata pesa kwa kuwasilisha chakula
Pata pato la ziada, haraka!
Hakuna ada ya usajili. Utapokea mapato yako mwishoni mwa kila wiki.

Tengeneza pesa muda wowote utakapo
Unaamua ni lini na mara ngapi utawasilisha bidhaa, siku za wiki, jioni, wikendi, au mara kwa mara, ni juu yako.

Wasilisha njiani kwako
Kwa baiskeli, skuta au gari, unachagua njia ya kuwasilisha.

Ongeza mapato yako
Mamilioni ya watumiaji wetu wanaagiza kutoka kwenye biashara kama yako. Jiunge na Bolt Food, panua ufikiaji wako na uongeze mauzo.

Pata maarifa muhimu ya biashara
Gundua data iliyo nyuma ya mauzo, uwekaji alama, na oda zako. Linganisha utendaji wa sasa na wiki na miezi iliyopita.

Uwasilishaji tuachie sisi
Tutashughulikia usafirishaji, huku wewe ukizingatia kuendesha biashara yako.

Chakula chako pende, kimewasilishwa haraka.

Maswali yanayoulizwa sana
Bidhaa za chakula zinazopatikana kwa ajili ya kuagiza katika programu hupewa bei moja moja. Kabla ya kuthibitisha oda yako, unaweza kukagua kikapu chako na kuona jumla ya bidhaa ulizochagua. Ada zifuatazo zinaweza kuongezwa kwenye jumla:
Ada ya Uwasilishaji; Ada ya Oda Ndogo (kwa oda zilizo chini ya bei ya chini ya oda).
Pakua programu zetu
Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Haraka, njia salama ya kuendesha.
Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.

Chakula unachopenda, kimewasilishwa haraka!
Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.