Kutuma upya risiti ya safari

Tunatuma risiti kwenye barua pepe yako mara baada ya kila safari inayokamilika.

Kama unahitaji kupokea risiti kwenye barua pepe tofauti, ni rahisi badilisha barua pepe kwenye profaili yako.

Unaweza kupakua au kutumiwa upya risiti ya safari kwenye app:

  • Bofya kwenye Safari Zangu
  • Bonyeza safari husika
  • Shuka chini hadi mwisho wa skrini na bonyeza Pata risiti
  • Pakua au tumiwa upya risiti.

Kutuma ankara zako zote, au kutumiwa risiti ya Boda au bajaji(ambapo huduma inapatikana), tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi.

Request in seconds, ride in minutes.

Available for iOS and Android devices.
Request in seconds, ride in minutes.