Kama gari yako imesajiliwa katika aina zaidi ya moja, unaweza kuchagua kuingia au kutoka kwa aina maalum ili kuthibiti ni safari zipi unapokea. Unaweza kubadilisha mipangilio katika programu yako kwa kugonga aikoni ya Mapendeleo iliyo upande wa kulia wa skrini.
Jinsi ya kuchagua aina ya usafiri katika programu
Omba ndani ya sekunde, safiri ndani ya dakika.
Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
