Tafadhali kumbuka kuwa hizi ada zinaongezwa moja kwa moja kwenye malipo ya safari, na ni kwenye miji iliyo orodheshwa hapo chini.
Ada ya kivuko Dar es Salaam
- Uwanja wa ndege: TZS 2000
- Daraja la Kigamboni: TZS 3000
- Kivuko cha Kigamboni: TZS 1500
- Stendi ya basi ya Ubungo: TZS 1500
Ada ya kivuko Dodoma
- Uwanja wa ndege: TZS 1000
Ada ya kivuko Mwanza
- Njia ya uwanja wa ndege: TZS 3000 (ada ya ziada TZS 1000 itaongezwa kama dereva akipita kivuko na kumaliza safari ndani ya uwanja wa ndege)
- Stendi ya basi ya Buzuruga : TZS 500
- Stendi ya basi ya Nyegezi: TZS 500