Chagua la kuwezesha safari kuelekea unakoenda hukusaidia kupokea safari za kuelekea eneo ulochagua.
Unaweza kugusa kitufe cha pin kwenye ubao wa simu ili kuwasha kipengele na kudhibiti unakoenda.
Tafadhali kumbuka kuwa unapowasha kipengele hiki, utapokea tu safari za kuelekea uendako au zile zinazomaliza karibu na uendako. Hutapokea maombi ya safari kwenda mbali na unakoenda; Hivyo, muda wa kusubiri unaweza kuwa mrefu zaidi kuliko kawaida.
Ikiwa umepokea agizo ambalo linakamilika mbali na unakoenda, tafadhali wasiliana na timu yetu ya Usaidizi na utoe maelezo zaidi kuhusu safari hiyo.
Nina matatizo na safari za kuelekea niendako
Request in seconds, ride in minutes.
Available for iOS and Android devices.
