Unaweza kupokea maagizo nje ya uzio ulouchagua kama hakuna madereva karibu na eneo la kumpakia mteja. Kukataa maombi kama haya haitaathiri shughuli zako katika jukwaa au ustahiki wako kwa kampeni maalumu ya bonasi.
Maombi haya yanatambulika kwa urahisi kwani taarifa itaonyeshwa juu ya skrini ili kuangazia kuwa agizo linaloingia liko nje ya uzio uliloweka.
