Unaweza kuongeza hadi vituo 3. Ili kufanya hivyo bofya alama ya ‘+’ karibu na sehemu ya kuweka uelekeo.
Dereva anaweza kubadili mlolongo wa vituo ili kufanya njia kuwa bora zaidi.
Tafadhali kumbuka kuwa ikiwa dereva atakusubiri katikati ya eneo la uelekeo wako, gharama za ziada zitaongezeka.