Wakati wowote unapopatiwa fidia, kiasi hicho kitaongezwa kwenye akaunti yako kama salio ambalo litatumika kwa agizo la safari yako inayofuata. Tafadhali kumbuka kuwa Salio la Bolt haliwezi kutumika na safari za pesa taslimu.
Kama Salio lako ni chanya, Itatumika kiautomatiki kwa agizo la safari yako mpya.
Kama Salio lako ni hasi, inamaanisha kuwa malipo ya safari kwa hapo awali yameshindikana. Kuna njia mbili za kusuluhisha malipo yaliyoshindikana:
- Kuongeza salio lako katika app chini ya kipengele cha Malipo
- Weka agizo la safari mpya: utatozwa malipo yaliyofeli pamoja na bei ya safari mpya.