Ikiwa ungependa kuongeza gari kwenye akaunti yako tumia portal hii kuongeza gari.
Na kisha tufahamishe kuhusu ombi lako kwa tanzania@bolt.eu endapo gari halitaongezwa ndani yamasaa 24 kwa siku za kazi. Jumatatu paka Ijumaa.
Katika ujumbe wako, tafadhali tupatie habari ifuatayo juu ya gari ambalo ungependa kubadili:
- Aina ya gari (k.m Toyota IST)
- Nambari ya gari
- Mwaka wa utengenezaji.