Ikiwa bonasi haijaongezwa kwenye salio lako, tafadhali hakikisha masharti yote ya kampeni ya bonasi yametimizwa na kipindi cha kampeni kimeisha.
Unaweza kuangalia mahitaji ya bonasi na kufuatilia maendeleo yako katika sehemu ya kampeni kwenye kitufe cha habari.
Kama umetimiza mahitaji ya bonasi lakini haijaongezwa katika salio lako, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi ukitutumia screenshot ya bonasi.