Malipo ya Bolt ni 20% kamisheni kutokana na bei kamili katika kila safari.Kamisheni inatumika kwa wateja wote wa fedha taslimu na kadi.
Kamisheni haihusishi pesa ya ziada ya ihari kutoka kwa mteja, bonasi na malipo ya ziada kama ada za airport, vilevile ada ya kuhifadhi.
Kamisheni inahesabika moja kwa moja na kutolewa katika mapato yako ya wiki. Unaweza kuona jumla ya ada kutokana na kamisheni iliyo hesabiwa katika Sehemu ya mapato.