Salio langu halijasasishwa baada ya kulipa kamisheni

Ikiwa salio lako halijasasishwa baada ya kulipa kamisheni kwa Bolt, angalia muda ulofanya malipo. Tafadhali kumbuka kuwa mchakato unaweza kuchukua mpaka masaa 24-72 kwa kiasi hicho kuonekana katika salio lako.Likizo za umma zinaweza kuchelewesha kuidhinisha malipo.

Kama masaa 72 yamepita, tafadhali toa taarifa kwa timu yetu ya usaidizi na tuma uthibitisho wa malipo uliyo lipa (screenshot ya taarifa kwa malipo).

Request in seconds, ride in minutes.

Available for iOS and Android devices.
Request in seconds, ride in minutes.