Bei huhesabiwa kwa kuzingatia:
- Nauli ya msingi: bei ya kuchukua
- Kiwango cha chini ( Kama bei ya Bolt ikichaguliwa): Muda wa kuanza na kumaliza safari * Kiwango cha umbali: Umbali wa njia ilotumika
- Bei inayobadilika, kama ikitumika * Ada yoyote ya ziada, ikitumika (kwa mfano, ada ya uwanja wa ndege).
Fahamu: Kiwango cha umbali kinawekwa automatiki isipokuwa kama umeweka bei yako kutoka katika masafa yaliyotolewa.
Unaweza kupata ushuru wa bei za Bolt katika tovuti yetu.
Bei ya makadirio inayoonekana kwa mteja inategemea umbali wa safari na muda unaokadiriwa kufika. Aidha, nauli inazingatia foleni na hali tofauti tofauti za barabarani ambazo zinaweza kuathiri njia na muda wa safari.
Bei halisi inaweza kutofautiana na bei iliyokadiriwa ikiwa fikio la safari likibadirishwa katikati ya safari.