Sipokei maombi ya safari

Ikiwa unapokea safari chache au hupokei kabisa, hakikisha upo**katika eneo lenye huduma na ** fikiria kuhamia eneo lenye uhitaji mkubwa;maeneo haya yamepakwa rangi nyekundu kwenye ramani.

Jaribu hatua hizi ili kupata utatuzi ikiwa hupokei maombi ya safari yoyote:

  • Sasisha simu yako ukitumia toleo jipya zaidi la App ya Bolt Driver
  • Hakikisha programu ina onesha eneo lako. Unaweza kuangalia hii katika setting ya simu yako
  • Hakikisha intaneti ulojiunga ni imara na hali ya kiokoa betri imezimwa
  • Jaribu kutokuwa na app zingine nyingi zinazotumika kwenye simu yako ukitumia App ya Bolt Driver
  • Anzisha simu yako upya na urudi mtandaoni

Ikiwa malipo ya pesa taslimu hutumika mara nyingi katika nchi yako na hujalipa kamisheni yako, huenda usipate safari za pesa taslimu. Angalia na ulipe deni lako lote ili kuhakikisha unapokea safari zote zinazowezekana.

Request in seconds, ride in minutes.

Available for iOS and Android devices.
Request in seconds, ride in minutes.