Ikiwa umepokea barua pepe ya kukutaarifu kuhusu utoaji wa alama za udereva lakini bango la alama halionekani katika ubao wa programu yako:
- Pakua toleo jipya zaidi la programu
- Anzisha tena programu.
- Sakinisha upya programu.
Ukiendelea kupata tatizo hilo, tafadhali wasiliana na timu yetu ya Usaidizi kupitia programu.