Jukwaa la usafiri linalokua kwa kasi zaidi ulimwenguni.

Kwa maswali ya waandishi wa habari wasiliana nasi kwa press@bolt.eu
Bloomberg logo
Reuters logo
Techcrunch logo
Quartz logo

Kuhusu Bolt

Bolt, hapo awali ilijulikana kama Taxify, ni jukwaa la kuongoza la usafirishaji la Ulaya linalotoa huduma za kubadilika na huduma za kushirikisha skuta. Dhamira ya kampuni ni kufanya kusafiri mijini kuwa rahisi, haraka na kuaminika zaidi.

2013

Bolt launched

30+ million

riders

1,000,000+

drivers

35+

countries

Imehasisiwa na Markus Villig, Bolt imezinduliwa 2013. Ni moja ya kampuni ya usafirishaji inayokua kwa kasi duniani ikiwa na wawekezaji Daimler, Didi Chuxing, Korelya Capital na TransferWise mhasisi msaidizi Taavet Hinrikus.

Habari mpya za Bolt

Tembelea blog yetu