Skuta za Bolt

Zunguuka mjini haraka kwa kutumia skuta za Bolt za umeme

Kuhusu Bolt

Programu moja, njia mbili za kusafiri

Tafuta skuta ya Bolt mtaani na tumia programu yako kufanya safari

Skuta za Bolt zinafanyaje kazi?

1. Chagua hali-tumizi ya skuta katika programu

Tafuta skuta ya BOLT mitaani. Tumia programu ya Bolt kupata skuta iliyo karibu yako.

2. Tafuta skuta mtaani

Tambaza msimbo wa QR na pregramu ya Bolt kufungua skuta.

Tambaza smibo wa QR kuanza safari

Chukua safaru na skuta. Ukifika uendako, maliza safari kisha egesha skuta kwa usalama.

Kampuni ya kwanza ya usafiri wa kidigitali duniani kuzindua skuta katika mfumo wake

Kuhusu Skuta za Bolt

Jinis ya kutumia skuta

Before starting a ride, make sure that scooter has enough battery left and is in good order.