Taxify sasa ni Bolt

Bolt (Taxify) is the smartest way to move around in your city. Get the Bolt app for iPhone and Android.

Kuhusu Bolt (Taxify)

Kupata gari katika dakika

Ita usafiri kupitia programu, na dereva aliyekaribu atakufuata.

Jinsi programu ya Bolt inavyofanya kazi?

1. Ombi

Request a ride with the app

Chagua gari linalolingana na bajeti yako, weka mahali ulipo kisha itisha gari.

2. Safiri

Get a ride in your city with Bolt

Unaweza kuangalia dereva wako akiwasili kwenye ramani.

3. Lipa & kisha toa maoni

Easy and fast payments

Unaweza kutoa maoni kuhusu dereva na safari yako katika programu yetu.

Huduma za Bolt

Zaidi ya programu

Tunaunganisha wateja na madereva kwa bei nafuu zaidi. Unapotumia Bolt, tunajitahidi kufanya safari yako iwe rahisi na ya kupendeza.